Fee Structure

AWAMU ZA ULIPAJI WA ADA

Ada ya chuo unaweza kulipa yote unapoanza masomo au kwa awamu mbili au nne kulingana na uwezo wa mzazi. Mchanganuo wa ada umeoneshwa kwenye jedwari hapa chini:-

SEMISTAMAELEZOADA
SEMISTA I 495,000/=Mwanzo wa semista ya I245,000/=
Katikati ya semista ya I250,000/=
SEMISTA II 500,000/=Mwanzo wa semista ya II250,000/=
Katikati ya semista ya II250,000/=
JUMLA 995,000/=

6.2 GHARAMA YA MOJA KWA MOJA NA HOSTELI (DIRECT COST AND HOSTEL FEES)

Gharama za moja kwa moja zitalipwa mwanzo wa kila semista au kwa awamu mbili kama jeedwari hapa chini linavyojieleza:-

SEMISTAMAELEZOKIWANGOAWAMU YA 1
Semista IMafunzo kwa vitendo (Practical fee)100,000/=          205,000/=
Udhibiti Ubora NACTVET (quality assurance fee)15,000/=
T-shirt20,000/=
Stationery na mitihani (Stationery & Exam fee)50,000/=
Kitambulisho cha chuo (Identity Card)20,000/=
Semista IIMafunzo kwa vitendo (Practical fee)100,000/=AWAMU YA 2
Stationery na mitihani (Stationery & Exam fee)50,000/=  150,000/=
JUMLA   355,000/=

6.3 MALIPO YA ADA, HOSTELI NA GHARAMA ZA MOJA KWA MOJA

Malipo yote ya Ada, Hosteli na gharama za moja kwa moja yafanyike kwenye akaunti ya benki ya chuo yenye taarifa zifuatazo:-

Taarifa za benki ya Chuo

Benki: BENKI YA BIASHARA YA TAIFA (NATIONAL BANK OF COMMERCE -NBC)

Jina la Akaunti ya Chuo: MBEYA POLYTECHNIC COLLEGE

Namba ya Akaunti: 038174033407

“MBEYA POLYTECHNIC COLLEGE- TO LEARN IS TO CHANGE”