
Chuo cha Mbeya Polytechnic kipo Mkoa wa Mbeya katika wilaya ya Rungwe mji wa Tukuyu kata ya Ibigi, karibu na kiwanda cha chai cha Wakulima. Ukifika kituo cha mabasi cha Katumba ni mita 800 tu Kwenda chuo. Tafadhali kwa wanachuo wageni piga simu hapo juu kama umeanza safari ya kuja Tukuyu.